ENNA SIMION
SERIKALI KUANZA UJENZI WA SONGEA BYPASS, KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MALORI SONGEA...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imedhamiria kuondoa msongamano wa magari makubwa katikati ya Mji wa Songea kwa kujenga barabara ya mchepuo...
RAIS SAMIA ATEMBELEA KANISA LA MT. BENEDICTO, PAROKIA YA PERAMIHO, JIMBO...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Watawa wa Shirika la Benedicto wa...
KAFULILA ATANGAZA MAGEUZI MAKUBWA VIVUKO, KARAKANA ZA SERIKALI
*TEMESA kushirikiana na sekta binafsi kwenye uendeshaji wa karakana, vivuko na ukodishaji wa mitambo
Septemba 24, 2024
Na Mwandishi Wetu - Dar es Salaam
Wakala wa Ufundi...
RAIS SAMIA ATAKA WAKULIMA KUSHIKWA MKONO KILIMO CHA KAHAWA, PAPRIKA NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameutaka mradi wa shamba la kahawa la kampuni ya AVIV Tanzania Limited...
RAIS SAMIA AZINDUA MAGHALA 28 YA KUHIFADHI CHAKULA VIJIJINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa maghala 28 ya kuhifadhi nafaka katika...
WAZIRI CHANA ATAJA MAKUBWA YA RAIS SAMIA SEKTA YA MALIASILI NA...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb), ametaja mambo makubwa aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt....