ENNA SIMION
WADAU, SERIKALI WADHAMIRIA MATOKEO CHANYA UTEKELEZAJI WA VIPAUMBELE
Na WMJJWM, Dar Es Salaam
Serikali kwa kushirikiana na Wadau mbalimbali wanaoshughulikia huduma za Ustawi wa Jamii wamedhamiria kuhakikisha vipaumbele vilivyowekwa kutekeleza afua za Ustawi...
RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI KUACHA TABIA YA KUCHOMA MISITU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonya wananchi kuacha tabia ya kuchoma misitu bali wailinde na kuihifadhi.
Ameyasema hayo...
DKT.PHILIP AMEWASIHI WANANCHI KUTUMIA VYEMA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILIYOJENGWA NA SERIKALI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasihi wananchi kutumia vema miundombinu ya barabara inayojengwa na serikali ili...
RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BANDARI YA MBAMBABAY
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa bandari mpya ya Mbamba Bay...
MHE. ZAINABU TSC ENDELENI KUSIMAMIA MAADILI YA WALIMU
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba akifungua mafunzo ya siku mbili ya...
RAIS SAMIA: HONGERA MBINGA KWA UZALISHAJI MZURI WENYE USALAMA NA UHAKIKA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepongeza juhudi za wakulima wa Mkoa wa Ruvuma katika kuzalisha mazao...