ENNA SIMION
BASHE: MFUMO WA TMX NDIYO MWELEKEO
Serikali imeanza kutumia mfumo wa Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) kwa zao la Korosho kwa msimu wa mauzo mwaka huu unaoanza hivi karibuni ili...
DKT. BITEKO ASISITIZA USHIRIKIANO WAZAZI, WALIMU KUPATA VIONGOZI BORA
Azindua Wiki ya Elimu Muheza
Asema Mtoto wa Leo, Samia wa Kesho Inawezeka
Awataka Wazazi, Walimu Kufanikisha Ndoto za Watoto
Na Ofisi ya Naibu...
DHAMIRA YA SERIKALI KUONA WANANCHI WANASHIRIKISHWA,MAENDELEO MAENEO YAO MHE-KAPINGA
Asema wananchi wana wajibu wa kufuatilia utekelezaji wa miradi kwenye maeneo yao
*Aeleza umuhimu wa Sensa ya Watu na Makazi katika kuleta maendeleo
Naibu Waziri wa...
KILA MUNU AVE NA KWAO; TUNDURU YA CCM, KIJANI NA NJANO...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Tunduru...
SERIKALI YAENDELEA NA JITIHADA ZA KUKABILIANA NA TEMBO-RAIS SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeendelea na mikakati mbalimbali ya kukabiliana na wanyamapori tembo katika Halmashauri...
MFUMO WA KIDIGITALI WA AIRPAY NA ZEEA KUWARAHISISHIA WAJASIRIAMALI KUPATA MIKOPO...
KAMPUNI ya Airpay Tanzania imesema kuwa mfumo wa kidigitali walioutengeneza kwa kushirikiana na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA) na taasisi zingine za kifedha...