ENNA SIMION
KONGAMANO LA WIKI YA MAFUTA AFRIKA LAFUNGULIWA NCHINI AFRIKA KUSINI
*Masuala ya Gesi Asilia, Mafuta na Nishati Mbadala kujadiliwa*
*Kapinga aongoza ujumbe wa Tanzania*
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga ameshiriki ufunguzi wa...
MAAFISA ELIMU WAASWA KULETA MAGEUZI YA ELIMU YA WATU WAZIMA NCHINI
Na. OR TAMISEMI, Tabora
Mkurugenzi Msaidizi, Elimu ya Watu Wazima, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mwalimu Ernest Hinju amewataka Maafisa Elimu Watu Wazima wa Mikoa...
DKT.PHILIP AMEANZA ZIARA YA KIKAZI TABORA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 08 Oktoba 2024 ameanza ziara ya kikazi ya siku...
GAVANA WA KISIWA CHA NGAZIJA NCHINI COMORO ATEMBELEA UBENA ESTATE KUJIFUNZA ...
Ujumbe kutoka Comoro, ukiongozwa na Gavana wa visiwa vya Ngazija, Mheshimiwa Mze Mohammed Ibrahim, umetembelea shamba la kilimo la Ubena Estate lililopo katika Halmashauri...
MAJALIWA: RAIS DKT. SAMIA ANAMATUMAINI MAKUBWA NA TAIFA STARS
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameitembelea Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) inayofanya mazoezi kwenye uwanja wa Mamlaka ya Mapato...
DKT.NCHIMBI ATOA POLE FAMILIA YA BI JULIANA WILEMAHONGO
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Itikadi,...