ENNA SIMION
MABALOZI WAWAPIGA MSASA WATUMISHI WA MAMBO YA NJE
Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wametakiwa kuvuna uzoefu kutoka kwa Mabalozi Wastaafu na wabobezi ambao waliupata...
NI MUHIMU KUIPA KIPAUMBELE NISHATI SAFI YA KUPIKIA TANZANIA NA AFRIKA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasihi viongozi na washiriki wote wa COP29 kutoka nchini Tanzania kutumia...
RC CHALAMILA AFANYA ZIARA KIWANDA CHA NAMELA TEXTILE LIMITED
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Novemba 12, 2024 amefanya ziara ya kushitukiza kiwanda cha nguo na mavazi...
NI VYEMA TAMISEMI IKAANGALIA UWEZEKANO WA KUWARUDISHA WAGOMBEA WENYE MAKOSA MADOGO...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiomba Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), kuwaelekeza wasimamizi Uchaguzi wa Serikali za...
Dkt. MPANGO AMEHUTUBIA MKUTANO WA 29 NCHINI AZERBAIJAN
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Mkutano wa COP29 kulipa hadhi ya kipekee suala...
TANZANIA,UINGEREZA WASAINI MKATABA WA HATI ,MFUKO WA AFYA WA PAMOJA.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Uingereza zimesaini Mkataba wa nyongeza wa Hati ya Makubaliano ya Mfuko wa Afya wa...