ENNA SIMION
TUMEWALETEA MAJEMBE, MSIFANYE MAKOSA-MAJALIWA
*_Asema CCM ni Chama Imara_
WAZIRI MKUU na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Kassim Majaliwa amewataka...
DKT.NCHIMBI AWASILI VIWANJA VYA MNYAMANI ,TEMEKE
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, leo tarehe 26 Novemba 2024, akiwasili katika Viwanja vya Kwamnyani, Mbagala wilayani...
CHAGUA CCM KWA MAENDELEO HADI MLANGONI KWAKO
Na: Mwandishi Wetu, Tanga.
Wananchi wamesisitizwa kuwachagua wagombea watokanao na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuharakisha maendeleo katika mitaa yao.
Rai hiyo imetolewa na Mbunge wa...
NCAA YAIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA RIADHA SHIMMUTA TANGA 2024
http://NCAA YAIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA RIADHA SHIMMUTA TANGA 2024
Na Mwandishi wetu, Tanga
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeibuka mshindi wa jumla katika riadha...
WEKENI UTARATIBU WA KUSAJILI BIMA MASHAMBA YA MITI- WAZIRI CHANA
Na Happiness Shayo -Mufindi
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ameielekeza Menejimenti ya Shamba la Miti Sao Hill kuweka utaratibu...