ENNA SIMION
CHAGUA CCM KWA MAENDELEO HADI MLANGONI KWAKO
Na: Mwandishi Wetu, Tanga.
Wananchi wamesisitizwa kuwachagua wagombea watokanao na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuharakisha maendeleo katika mitaa yao.
Rai hiyo imetolewa na Mbunge wa...
NCAA YAIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA RIADHA SHIMMUTA TANGA 2024
http://NCAA YAIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA RIADHA SHIMMUTA TANGA 2024
Na Mwandishi wetu, Tanga
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeibuka mshindi wa jumla katika riadha...
WEKENI UTARATIBU WA KUSAJILI BIMA MASHAMBA YA MITI- WAZIRI CHANA
Na Happiness Shayo -Mufindi
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ameielekeza Menejimenti ya Shamba la Miti Sao Hill kuweka utaratibu...
HATUNA HURUMA TUNABEBA VYOTE – DKT. BITEKO
*Tunataka Tuoneshe Afrika na Dunia Tanzania ni Nchi ya Demokrasia*
*Asema CCM Imejipanga Kushinda na Kuleta Maendeleo*
*Asema CCM Inataka Ushindi wa...
VIJANA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA SEKTA YA NISHATI
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
VIJANA wametakiwa kuchangamkia fursa zinazopatikana katika sekta ya nishati hapa nchini kwa kuwa sekta hiyo ina wigo mpana katika kuzalisha...