ENNA SIMION
WABUNGE WAIPONGEZA TRA KUFUNGUA OFISI YA WALIPA KODI BINAFSI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuanzisha Ofisi ya Walipa Kodi binafsi wenye hadhi ya juu...
WATAALAMU MIPANGOMIJI WAKUTANA DODOMA KUWEKA MIKAKATI
Na.Alex Sonna-DODOMA
WATAALAMU wa MipangoMiji wamejifungia kwa siku mbili jijini Dodoma kuweka mikakati namna ya kuhakikisha mipango iliyowekwa inadumu.
Akizungumza jijini Dodoma kwenye mkutano mkuu wa...
TANZANIA YAENDELEA KUFANYA MASHAURIANO SERIKALINI KUSHIRIKI UENDELEZAJI ,USHOROBA WA LOBITO_DKT PHILIP
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania inaendelea kufanya mashauriano ndani ya Serikali ili kuona namna...
DKT.PHILIP AWASILI UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA CATUMBELA AKIMWAKILISHA MHE.SAMIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Angola...