ENNA SIMION
BIASHARA KATI YA TANZANIA NA CHINA YAFIKIA DOLA BIL. 8.78-MAJALIWA
*_Asema Rais Dkt. Samia anathamini mchango wa China kwenye maendeleo nchini_*
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa uhusiano wa kibiashara kati ya Tanzania na China...
MAREHEMU FAUSTINE NDUGULILE ALIKUWA MWENYE NIDHAMU RAFIKI WA KILA MTU- DKT...
http://MAREHEMU FAUSTINE NDUGULILE ALIKUWA MWENYE NIDHAMU RAFIKI WA KILA MTU- DKT PHILIP
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango...
SERIKALI YATENGA BILIONI 2.9 UKARABATI WA CHUO CHA MAAFISA TABIBU MASWA
Na WAF - Simiyu
Serikali kupitia Wizara ya Afya, imetenga Shilingi Bilioni 2.9 kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu ya Chuo cha Maafisa Tabibu...
MGODI WA BARRICK NORTH MARA WASHINDA TUZO KUBWA ZA MWAJIRI BORA...
Wafanyakazi wa Barrick wakisherehekea tuzo 6 za ushindi
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi mgodi wa North Mara,Michael Kahela akipokea tuzo ya Mwajiri bora.
Naibu Waziri Mkuu...
RAIS SAMIA AIONGOZA TANZANIA KUONGOZA KATIKA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI
Uongozi wa kimaono wa Rais Samia Suluhu Hassan umeendelea kuipa Tanzania mafanikio makubwa katika biashara za kikanda, na kuthibitisha nafasi ya nchi kama...
KIKAO CHA DHARURA CHAOTA MBAWA
Kukosa kufanya mkutano wa dharura ulioandaliwa kwa tarehe 29 Novemba, 2024, na CHADEMA, chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, kimeibua uvumi wa mgawanyiko...