ENNA SIMION
WAHITIMU NCT LETENI MAGEUZI KATIKA UTOAJI HUDUMA KWA WATALII-MHE. CHANA
Na Happiness Shayo - Dar es Salaam
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewaasa wahitimu wa Chuo cha Taifa...
MHE- ALHAJJ HEMED AJUMUIKA KUMUOMBEA ALIYEKUWA MAKAMU WA PILI MSTAAFU...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na Viongozi wa Serikali, Viongozi wa Dini, Wanafamilia, Ndugu Jamaa na Marafiki...
MAJIKO YA GESI 19,530 KUSAMBAZWA KWA BEI YA RUZUKU MKOANI KILIMANJARO
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Kiseo Nzowa (katikati) akisisitiza jambo wakati wa utambulisho wa mradi wa kusambaza majiko ya gesi yanayotolewa kwa ruzuku...
WAZIRI MKUU KUFUNGUA KONGAMANO LA 14 LA WAHANDISI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Desemba 06, 2024 anafungua Kongamano la Kimataifa la 14 la Taasisi ya Wahandisi Tanzania (IET).
Kongamano hilo linalifanyika katika...
DKT. NCHEMBA: MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI KUWA JUMUISHI NA DIRA...
Na Sophia Kingimali.
Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema mpango wa kunusuru kaya maskini wa awamu ya tatu utakuwa mpango jumuishi na utaendana na...