ENNA SIMION
SERIKALI: KILA HALMASHAURI KUWA NA MSITU WA ASILI KUTUNZA MAZINGIRA
Na Mwandishi Wetu,
TANGA.
Serikali imesema inaandaa mpango wa kwa kila Halmashauri nchini kuwa na misitu ya asili ili kuimarisha mkakati wa usimamizi wa biashara...
MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA MADARAKANI ONGEZEKO LA MAKUSANYO MADINI YAPAA
• Tume ya Madini yaainisha mikakati yake kufikia 10% ya Pato la Taifa
• Yasimamia ajira 18,853 za Watanzania katika kampuni za madini
• Leseni za...
MAELFU KUPATA ELIMU YA MPIGA KURA NGORONGORO
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro
Wananchi wapatao 56,000 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro wanatarajiwa kufikiwa na Elimu ya Mpiga Kura kupitia juhudi za asasi za...
MHE.PHILIP MPANGO AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI WA NISHATI YA JOTOARDHI KUSHIRIKIANA NA TANZANIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga wakati alipowasili...
CHAMA CHA MAPINDUZI CHAMUONYA MWENYEKITI WA ACT WAZALENDO
Na Leluu Majjid, JamhuriMedia, Zanzibar
Chama cha Mapinduzi kimemkanya Makamo Mwenyekiti wa ACT_Wazalendo Ismail Jussa Ladhu na kumtaka aachane na fikra za kizamani na kutaka...
NAIBU WAZIRI KASEKENYA AZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA NCC
NAIBU Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya,akizungumza wakati akizindua Baraza la Wafanyakazi la Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) lililofanyika leo Oktoba 23,2024 jijini Dodoma.
Mwakilisha...