ENNA SIMION
REA YATOA KIPAUMBELE UJENZI MIRADI YA NISHATI JADIDIFU
Vijiji 32 vyenye wateja zaidi ya 8,000 vimeunganishiwa umeme
REA imeuwezesha mradi wa Mwenga Hydro shilingi bilioni 16.6
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kipaumbele kwenye...
WAZIRI JAFO AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA COMESA NCHINI BURUNDI
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani S. Jafo leo tarehe 31 Oktoba 2024 amemuwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Wakuu...
WADAU WA MAENDELEO TUSHIRIKIANE UTEKELEZAJI WA MPANGO WA BIMA YA AFYA...
Na WAF, Arusha.
Rai imetolewa kwa wadau wa maendeleo ya Sekta ya Afya kushirikiana pamoja na Serikali katika kufanikisha utekelezaji wa mpango wa Bima ya...
“UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA VIJANA BALEHE NI MSINGI WA TAIFA BORA”-DKT...
NA. MWANDISHI WETU - DODOMA
Serikali imejidhatiti kutatua changamoto zinazowakumba vijana balehe kwa kuweka mazingira salama na rafiki kwa vijana kupitia afua mbalimbali zinazowawezesha vijana...
TENGENI BAJETI KABLA YA KUTWAA ARDHI-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema taasisi yoyote ambayo inahitaji kutwa ardhi ambapo wananchi wanaishi au wanafanya shughuli mbalimbali za maendeleo lazima iwe imetenga...
TANZANIA MBIONI UZALISHAJI MADINI YA NIOBIUM
Bungeni, Dodoma
Imeelezwa kwamba Tanzania ipo mbioni kuanza uzalishaji wa madini ya Niobium ambayo ni moja ya madini adimu yanayotumika katika mitambo mbalimbali ikiwemo matumizi...