Home LOCAL RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI MAKAO MAKUU YA...

RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI MAKAO MAKUU YA BANDARI YA ZIWA TANGANYIKA 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Bandari za Ziwa Tanganyika (Kibirizi na Ujiji) katika Sherehe zilizofanyika Kibirizi Mkoani Kigoma.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati walipotembelea eneo la Bandari ya Kibirizi katika Ziwa Tanganyika mara baada ya kuweka jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Bandari za Ziwa Tanganyika katika Sherehe zilizofanyika Kigoma mjini.

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kibirizi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Bandari za Ziwa Tanganyika katika Sherehe zilizofanyika Kibirizi Mkoani Kigoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Jengo la kutolea Huduma za Wagonjwa wa Dharura (EMD) na Wagonjwa wa uangalizi Maalum (ICU) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni Kigoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel akiangalia mashine ya (MRI) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni Kigoma mara baada ya kuweka  jiwe la Msingi Jengo la kutolea Huduma za Wagonjwa wa Dharura (EMD) na Wagonjwa Mahututi (ICU) Katika Hospitali hiyo

Previous articleMWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN  AFANYA ZIARA FUPI OFISI ZA CCM MKOA WA KIGOMA , LEO OKTOBA 18, 2022.
Next articleBENKI YA DUNIA YASHANGAZWA NA MIUJIZA YA UCHUMI WA TANZANIA CHINI YA RAIS SAMIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here