Home LOCAL RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA MAWAKILI WA SERIKALI JIJINI DODOMA

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA MAWAKILI WA SERIKALI JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea mabanda mbalimbali likiwemo la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kujionea shughuli mbalimbali pamoja na huduma zitolewazo na Ofisi hizo kabla ya kuhutubia na kuzindua Rasmi Chama cha Mawakili wa Serikali, nembo na Mfumo rasmi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Mawakili wa Serikali kabla ya kuzindua Chama cha Mawakili wa Serikali, nembo na Mfumo rasmi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika hafla iliyofanyika leo Septemba 29,2022  Jijini Dodoma.

Viongozi mbalimbali pamoja na Mawakili wa Serikali wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  (hayupo pichani) wakati akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Mawakili wa Serikali kabla ya kuzindua Chama cha Mawakili wa Serikali, nembo na Mfumo rasmi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika hafla iliyofanyika leo Septemba 29,2022  Jijini Dodoma.

Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dk.Damas Ndumbaro,akizungumza wakati wa Mkutano wa Mkuu Cha ma cha Mawakili wa Serikali pamoja na uzinduzi wa mfumo,Nembo na Chama cha Mawakili wa Serikali hafla iliyofanyika leo Septemba 29,2022 jijini Dodoma.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dk. Eliezer Feleshi,akitoa taarifa wakati wa Mkutano wa Mkuu Cha ma cha Mawakili wa Serikali pamoja na uzinduzi wa mfumo,Nembo na Chama cha Mawakili wa Serikali hafla iliyofanyika leo Septemba 29,2022 jijini Dodoma.

Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Shaaban Ramadhan Abdalla, akizungumza wakati wa Mkutano wa Mkuu Cha ma cha Mawakili wa Serikali pamoja na uzinduzi wa mfumo,Nembo na Chama cha Mawakili wa Serikali hafla iliyofanyika leo Septemba 29,2022 jijini Dodoma.

Mwanasheria Mkuu Mstaafu, Andrew Chenge,akizungumza wakati wa Mkutano wa Mkuu Cha ma cha Mawakili wa Serikali pamoja na uzinduzi wa mfumo,Nembo na Chama cha Mawakili wa Serikali hafla iliyofanyika leo Septemba 29,2022 jijini Dodoma.

Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Hamis Juma,akizungumza wakati wa Mkutano wa Mkuu Cha ma cha Mawakili wa Serikali pamoja na uzinduzi wa mfumo,Nembo na Chama cha Mawakili wa Serikali hafla iliyofanyika leo Septemba 29,2022 jijini Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule,akitoa salamu za Mkoa wakati wa Mkutano wa Mkuu Cha ma cha Mawakili wa Serikali pamoja na uzinduzi wa mfumo,Nembo na Chama cha Mawakili wa Serikali hafla iliyofanyika leo Septemba 29,2022 jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kwenye laptop kuzindua mfumo rasmi wa Kieletroniki wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (OAGMIS), nembo  ya Ofisi hiyo pamoja na Chama cha Mawakili wa Serikali katika Mkutano Mkuu wa Mawakili wa Serikali uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

Previous articleWACHIMBAJI WA MADINI WATAKIWA KUTUNZA MAZINGIRA
Next articleNAIBU KATIBU MKUU MADINI ATEMBELEA BANDA LA MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI MAONESHO YA 5 YA KITAIFA YA TEKNOLOJIA YA MADINI 2022 GEITA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here