Home LOCAL SERIKALI KUANDAA KANUNI ZA UDHIBITI WA BEI YA DAWA NA VIFAA TIBA

SERIKALI KUANDAA KANUNI ZA UDHIBITI WA BEI YA DAWA NA VIFAA TIBA

Na: WAF, Bungeni, Dodoma.

Serikali ipo mbioni kuandaa kuani za kudhibiti bei za dawa nchini na tayari rasimu ya kanuni hizo zimeshawasilishwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt. Godwin Mollel alipokuwa akijibu swali lilioulizwa na Mheshimiwa. Mhandisi Mwanaisha Ng’anzi Ulenge (Mbunge Viti Maalum) Bungeni, Jijini Dodoma.

Mhe. Ulenge amehoji Serikali ina mpango gani wa kutoa bei elekezi ya vifaa vya tiba haswa akilenga vya macho, pua na koo.

Akijibu Kuhusu Vifaa tiba, Dkt. Mollel amesema kuwa bei elekezi za vifaatiba zitaandaliwa mara tuu baada ya kukamilika kwa kanuni za bei za dawa elekezi.

Previous articleRAIS SAMIA ASIKILIZA KILIO CHA WANANCHI,ATOA SHILINGI MILIONI 546 ZA UVICO-19 KUMALIZA KERO YA MAJI PAMBAZUKO NA MLETE
Next articleWAWEKEZAJI KUTOKA DUBAI KUTUA GEITA.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here