Home LOCAL DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM

DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma, leo Jumatatu tarehe 26, Mei 2025.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!