Home LOCAL RAIS WA MSUMBIJI MHE.DANIEL CHAPO APOKELEWA NA RAIS SAMIA IKULU DAR ES...

RAIS WA MSUMBIJI MHE.DANIEL CHAPO APOKELEWA NA RAIS SAMIA IKULU DAR ES SALAAM 

    Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!