Home LOCAL ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI CCM TAIFA WASIRA MKOANI SONGWE

ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI CCM TAIFA WASIRA MKOANI SONGWE

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, akizungumza na wanachana na viongozi wa Chama wilayani ileje mkoani Songwe akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake mkoani humo.