Home LOCAL MHE.MAJALIWA AMEMALIZA ZIARA YA SIKU MBILI TABORA.

MHE.MAJALIWA AMEMALIZA ZIARA YA SIKU MBILI TABORA.

http://MHE.MAJALIWA AMEMALIZA ZIARA YA SIKU MBILI TABORA.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 14, 2025 akiagana na viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kumaliza ziara ya siku mbili katika mkoa wa Tabora kwenye wilaya za Nzega na Igunga.