![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2025/02/7391-860x539.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2025/02/7405-1024x658.jpg)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwanazuoni Maarufu Zanzibar Sheikh.Ali Hemed Jabir ( Mwalimu Aliyani) ambae ni Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mchangani, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Mchangani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 8-2-2025, kwa ajili ya kumtembelea na kumjulia hali yake na kuzungumza naye.(Picha na Ikulu)
Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitabasamu wakati akiwa katika mazungumzo na Mwanazuoni Maarufu Zanzibar Sheikh.Ali Hemed Jabir (Mwalimu Aliyani) ambae ni Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mchangani, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Mchangani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 8-2-2025, kwa ajili ya kumtembelea na kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na wanafamilia katika kuitikia dua ikisomwa na Mwanazuoni Maarufu Zanzibar Sheikh.Ali Hemed Jabir (Mwalimu Aliyani) (kushoto kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yake, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Mchangani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 8-2-2025, kwa ajili ya kumjulia hali yake, na (kulia kwa Rais) Al-Habib Mohamed Omar Al-Sheikh na Ustadh. Mahmud Ali Mbarak.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya msahafu na Mwanazuoni Maarufu Zanzibar Sheikh.Ali Hemed Jabir (Mwalimu Aliyani) ambae ni Imamu Mkuu wa Msikiti wa Mchangani, Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 8-2-2025,baada ya kumaliza mazungumzo alipofika nyumbani kwake mtaa wa mchangani kwa ajili ya kumtembelea na kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)