Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El Maamry Mwamba, akizungumza na Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), wakati akiongoza kikao maalum kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), walipofanya ziara katika Ofisi ya Wizara ya Fedha jijini Dodoma.
Kiongozi wa Msafara wa Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Charalambos Tsangarides, akizungumza katika kikao kilichawakutanisha Timu yake na Wizara ya Fedha, Jijini Dodoma.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Bwana Emmanuel Tutuba, (kushoto) akizungumza katika kikao cha Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Wizara ya Fedha Jijini Dodoma (wakwanza kulia) ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamisi Shaaban.
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El Maamry Mwamba, (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), (kushoto) Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamisi Shaaban pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) (wakwanza kulia) Bw. Emmanuel Tutuba, akiteta jambo na kiongozi wa Msafara wa Timu ya Wataalam wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bwana Charalambos Tsangarides (wakwanza kushoto) na Mwakilishi Mkazi wa IMF, Bw. Sebastian Acevedo, mara baada ya kikao chao na Wizara ya Fedha Jijini Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dodoma)