Home LOCAL SHAMRA SHAMRA KUADHIMISHA MIAKA 61 YA MAPINDUZI MTUKUFU ZANZIBAR YA...

SHAMRA SHAMRA KUADHIMISHA MIAKA 61 YA MAPINDUZI MTUKUFU ZANZIBAR YA MWAKA 1964

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Baraza ya Mwera-Polisi – Kibonde Mzungu ikiwa ni katika shamra shamra za kuadhimisha kutimia miaka 61 ya Mapinduzi Mtukufu ya Zanzibar ya Mwaka 1964.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)
Tarehe 27.11.2024

http://61 YA MAPINDUZI MTUKUFU ZANZIBAR YA MWAKA 1964