Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha John Bill Tendwa, Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maombolezo na Kuaga mwili wa marehemu Tendwa kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, Desemba 19, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa marehemu John Bill Tendwa, Msajili Mstaafu wa Vyama vya Siasa, alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maombolezo na Kuaga mwili wa marehemu Tendwa kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, Desemba 19, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa pole familia ya marehemu John Bill Tendwa, Msajili Mstaafu wa Vyama vya Siasa, alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maombolezo na Kuaga mwili wa marehemu Tendwa kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, Desemba 19, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maombolezo na Kuaga mwili wa marehemu Tendwa kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, Desemba 19, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)