Home INTERNATIONAL PAPA AWAONYA MAKASISI KUACHA KUFANYA SIASA

PAPA AWAONYA MAKASISI KUACHA KUFANYA SIASA

Wito umetolewa kwa makasisi wa Kanisa Katoliki kuacha kujihusisha na siasa.

Wito huo umetolewa na Papa Francis alipokuwa kwenye ziara ya siku moja huko Corcica, katika kisiwa cha Ufaransa cha Mediterania, ambapo katika mkutano huo alionya dhidi ya aina mbalimbali za hali kiroho ambayo hali hiyo inachangia kuibua mizozo na migawanyiko duniani.

“Wachungaji wa Kanisa kuwa macho kutumia utambuzi na kuwa waangalifu,” Alisema.

Papa Francis alifanya safari yake ya tatu na pengine ya mwisho ya nje ya nchi mwaka 2024.

Previous articleSIMBA WALIPE UHARIBIFU ULIOTOKEA UWANJA WA MKAPA
Next articleVYOMBO VYA HABARI VITUMIKE KAMA KICHOCHEO KUWEZESHA DIRA 2050 KUFANIKIWA – BALILE
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here