Home LOCAL MAKAMU WA RAIS AKIWASILI ARUSHA – KUFUNGUA MKUTANO WA TAKUKURU

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI ARUSHA – KUFUNGUA MKUTANO WA TAKUKURU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda pamoja na viongozi mbalimbali wakati alipowasili mkoani Arusha leo tarehe 15 Desemba 2024. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Mwaka wa Viongozi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) utakaofanyika kesho tarehe 16 Desemba 2024 mkoani Arusha.
  
Previous articleWATANZANIA WAHIMIZWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUSOMA VITABU
Next articleUMMY MWALIMU ANAVYOPAMBANIA KILIMO CHA MWANI KIBADILISHE MAISHA YA WANANCHI WA TANGA MJINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here