Home LOCAL WAZIRI MKUU KUFUNGUA KONGAMANO LA 14 LA WAHANDISI

WAZIRI MKUU KUFUNGUA KONGAMANO LA 14 LA WAHANDISI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Desemba 06, 2024 anafungua Kongamano la Kimataifa la 14 la Taasisi ya Wahandisi Tanzania (IET).

Kongamano hilo linalifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) limelenga kuwakutanisha Wahandisi na Mafundi Sanifu kutoka Taasisi za Serikali na Sekta Binafsi kwa lengo la kujifunza, kujadili, kutathmini na kubadilishana uzoefu kuhusu masuala ya kihandisi.

http://WAZIRI MKUU KUFUNGUA KONGAMANO LA 14 LA WAHANDISI

Previous articleHAYA HAPA MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 6,DISEMBA 2024
Next articleMAJIKO YA GESI 19,530 KUSAMBAZWA KWA BEI YA RUZUKU MKOANI KILIMANJARO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here