Home LOCAL MWENYEKITI INEC AKAGUA MAFUNZO

MWENYEKITI INEC AKAGUA MAFUNZO

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, (kushoto) akikagua mafunzo ya Watendaji wa Uboreshaji ngazi ya jimbo yaliyokuwa yakifanyika kwa siku mbili katika kituo cha Shule ya Sekondari Arusha Mkoani Arusha alipotembelea mafunzo hayo leo Disemba 5, 2024. ikiwa ni maandalizi ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambao unataraji kuanza Disemba 11 hadi 17, 2024. (Picha na INEC).

Previous articleUSHINDI TUZO YA MWAJIRI BORA WA BARRICK NORTH MARA NI MFANO WA UWEKEZAJI MADHUBUTI KATIKA TASNIA YA MADINI NCHINI
Next articleDKT. JAFO ATEMBELEA BANDA LA REA KWENYE MKUTANO WA KIKANDA WA NISHATI 2024
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here