Home BUSINESS DKT NCHEMBA AONGOZA MAJADILIANO NA WASHIRIKA WA MAENDELEO KUJADILI MPANGO WA KUNUSURU...

DKT NCHEMBA AONGOZA MAJADILIANO NA WASHIRIKA WA MAENDELEO KUJADILI MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI NCHINI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Katikati) akiongoza Majadiliano ya Ngazi ya Juu kati ya Serikali na Washirika wa Maendeleo, kuhusu muskabari wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF, uliofanyika Jijini Dar es Salaam, ukiwahusisha baadhi ya Mawaziri wa Kisekta kutoka Tanzania Bara na Tanzania Visiwani, pamoja na Wanadiplomasia na Washirika wa maendeleo wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kilimanjaro wa Benki Kuu ya Tanzania, Jijini Dar es Salaam.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-WF-Dar es Salaam)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here