Home LOCAL KIKWETE AKUTANA NA BALOZI WA JAPAN, WAJADILI KUWEZESHA VIJANA WA KITANZANIA KIMAFUNZO...

KIKWETE AKUTANA NA BALOZI WA JAPAN, WAJADILI KUWEZESHA VIJANA WA KITANZANIA KIMAFUNZO NA UJUZI.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania ambaye pia ni Mwakilishi wa Japan katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Yusushi Misawa pamoja na ujumbe wake alipomtembelea katika Ofisi ya NSSF, Jijini Dar es Salaam.

Katika kikao hicho, wamejadili mambo mbalimbali ikiwemo kuwezesha vijana wa Kitanzania nafasi za kujifunza kazi na kuimarisha mafunzo pamoja na kuongeza ujuzi.

http://KIKWETE AKUTANA NA BALOZI WA JAPAN, WAJADILI KUWEZESHA VIJANA WA KITANZANIA KIMAFUNZO NA UJUZI.

#KaziIendelee

Previous articleHAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 20,NOVEMBA 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here