Home BUSINESS BENKI YA ACB WANAKUAMBIA “TUPO MTAANI KWAKO”

BENKI YA ACB WANAKUAMBIA “TUPO MTAANI KWAKO”

Tumezindua rasmi program yetu ya TUPO MTAANI KWAKO kupitia timu yetu bobezi ya mauzo. Sasa tunakufikia popote ulipo kupitia timu yetu ya mauzo kupata huduma zetu za kufungua akaunti , elimu ya mikopo pamoja na jinsi ya kutumia huduma zetu za kidijitali za VISA card, ACB Mobile, Akiba Wakala na Internet Banking.
Program hiyo inaenda sambamba na kampeni ya Road show ya kutoa utambulisho kwa timu ya “Tupo Mtaani kwako” katika vitongoji na mitaa mbali mbali ya jiji la DSM
Tupo Mtaani kwako, tukileta huduma kwa urahisi zaidi!

Kaimu Afisa Mkuu wa Kitengo Biashara Bw: Danford Muyango akizindua rasmi kampeni ya “Tupo Mtaani Kwako” katika tawi la Kijitonyama, Letsya Tower


Baadhi ya Wafanyakazi wa ACB walioshirika katika uzinduzi wa program ya “Tupo Mtaani Kwako”

Previous articleMAKAMU WA RAIS KUWA MGENI RASMI KATIKA KUHITIMISHA KONGAMANO LA NNE LA UHURU WA KIDINI LA AFRIKA
Next articleUZINDUZI TAMASHA LA UTAMADUNI WAITEKA RUVUMA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here