Home LOCAL MAJALIWA KUFUNGA MKUTANO MAALUM, MWELEKEO WA MAZINGIRA

MAJALIWA KUFUNGA MKUTANO MAALUM, MWELEKEO WA MAZINGIRA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 10, 2024 anafunga mkutano maalum wa viongozi, wataalam na wadau wa mazingira kuhusu mwelekeo wa mazingira nchini, katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

madhumuni ya Mkutano huo ni kuchambua hali ya mazingira nchini, kubadilishana uzoefu, na kupanga mikakati madhubuti ya kuhifadhi na kusimamia mazingira.

Kauli mbiu ya mkutano huo ni “Mazingira Yetu na Tanzania Ijayo” Tuwajibike sasa.

Previous articleDKT.SAMIA AMEELEKEZA RASILIMALI ZINAZOCHIMBWA NCHINI ZIWANUFAISHE WATANZANIA – DKT. BITEKO
Next articlePUMAGAS YAZINDUA   BEI  KAMA  MKAA FAIDA KIBAO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here