Home INTERNATIONAL RAIS SAMIA AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA WAKUU WA NCHI YA...

RAIS SAMIA AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA WAKUU WA NCHI YA CHINA NA AFRIKA (FOCAC).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wanaoshiriki Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China tarehe 05 Septemba, 2024.

Previous articleWAHUDUMU NGAZI YA JAMII NI MUHIMU KATIKA AFYA,USTAWI WA JAMII NA LISHE-DKT KAPOLOGWE
Next articleRAIS SAMIA ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI NA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WANAOSHIRIKI MKUTANO WA FOCAC

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here