Home INTERNATIONAL RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA 44 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI...

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA 44 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI YA SADC,HARARE NCHINI ZIMBABWE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine katika Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwenye Jengo la Bunge jipya la Zimbabwe Jijini Harare tarehe 17 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa nchi mbalimbali kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwenye Jengo la Bunge jipya la Zimbabwe Jijini Harare tarehe 17 Agosti, 2024.

Previous articleDKT MWAMBA AFANYA MAZUNGUMZO NA AFISA MTENDAJI MKUU WA TAASISI YA BWB YA UINGEREZA
Next articleZIARA WAZIRI MAVUNDE YALETA FARAJA KWA WACHIMBAJI WADOGO WA LEMISHUKO, SIMANJIRO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here