Home INTERNATIONAL RAIS SAMIA AWASILI HARARE NCHINI ZIMBABWE

RAIS SAMIA AWASILI HARARE NCHINI ZIMBABWE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan leo Agosti 15,2024 amewasili Harare Nchini Zimbabwe ambako atashiriki Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Katika Mkutano huo utakao fanyika Agosti 17, Rais Samia atapokea kiti cha Uenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC kutoka kwa Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema.

Fuatilia mitandao yetu ya kijamii
Instagram: @mamakajatz
Twitter @mamakajatz
Facebook: Mamakajatz
YouTube: Mama kaja tz
#Mamakaja

Previous articleMAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA UJUMBE JUKWAA LA UCHUMI DUNIANI (WEF) DODOMA
Next articleTANZANIA KUSHIRIKIANA NA CUBA UTAFITI WA MIMEA TIBA-MAJALIWA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here