Home ENTERTAINMENTS PHILIP AWAFUNDA WANAMITINDO KUACHA UTEGEMEZI

PHILIP AWAFUNDA WANAMITINDO KUACHA UTEGEMEZI

 

NA: MWANDISHI WETU.

MWANAMITINDO chipukiza Philip Amony, amewahasa vijana walio katika tasnia  ya mitindo kufanya kazi kuacha kuwa tegemezi kama wengi wao wanavyo fanya.

Philip ni mipngoni mwa wanamitindo ambao hivi karibuni wameshiriki kuonyesha mavazi katika tamasha la Stara Fashion week akivishwa na mbunifu wa mavazi Gimmy Desgner.

Akizungumza na ukurasa huu amesema wanamitindo wengi wamekuwa wazito kujichanganya kufanya kazi za kawaida na kutegemea matamasha ya mitindo

“Wanamitindo wengi hawapendi kufanya kazi kwa kisingizio cha kujibrand hii inaathiri uchumi wetu ndio maana wengi wao wanakuwa tegemezi kwa jamii zao,” alisema Philip Amony.

Aliongeza kuwa ni kweli kazi ya model ina lipa lakini hapa nchini majukwaa ni machache kiasi ambacho huwezi kuyategemea ili kusongesha maisha nje ya tasnia ya mitindo
Previous articleMWENYEKITI NA KATIBU WA TUME YA UTUMISHI WALIMU WASHIRIKI UZINDUZI RASMI WA UTOAJI CHANJO YA UVIKO-19 MKOANI DODOMA
Next articleRAIS DKT. MWINYI AWAPA TUZO FCS KWA MCHANGO WAO WA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA ZANZIBAR.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here