Home Uncategorized RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA MAABARA KUU...

RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA MAABARA KUU YA KILIMO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan leo August 08,2024 ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Maabara Kuu ya Kilimo Inayojengwa Mji wa Serikali Mkoani Dodoma ambayo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 16.

Jengo Hilo la Maabara ya Kilimo lina Gorofa nne na ndani yake zitakuwepo maabara takribani 14 ambazo zitawawezesha wataalamu na watafiti Nchini kufanya tafiti.

Fuatilia mitandao yetu ya kijamii
Instagram: @mamakajatz
Twitter @mamakajatz
Facebook: Mamakajatz
YouTube: Mama kaja tz
#Mamakaja

Previous articleTTCL YAWEZESHA UPATIKANAJI HUDUMA ZA INTANETI NANE-NANE
Next articleWAZIRI NDEJEMBI AITAKA NHC KUWASAIDIA WANANCHI WA KIPATO CHA CHINI KUMILIKI NYUMBA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here