Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa pamoja na viongozi wengine wa Serikali wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Kidatu – Ifakara (km 66.9) iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami na Daraja la Ruaha Mkuu (m 133) Mkoani Morogoro, tarehe 04 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa mara baada ya kufungua barabara ya Kidatu – Ifakara (km 66.9) iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami na Daraja la Ruaha Mkuu (m 133), Mkoani Morogoro, tarehe 04 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati akifungua barabara ya Kidatu – Ifakara (km 66.9) iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami na Daraja la Ruaha Mkuu (m 133), Mkoani Morogoro, tarehe 04 Agosti, 2024.
Muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 pamoja na barabara ya Kidatu – Ifakara yenye urefu wa kilomita 66.9 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami