Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan leo Julai 16,2024 amezindua Vihenge, Maghala ya kuhifadhi Chakula ya NFRA na msimu wa ununuzi wa nafaka eneo la Konondo Halmashauri ya Sumbawanga Mkoani Rukwa wakati wa Ziara ya Kikazi Mkoani humo.
Ujenzi wa Maghala na Vihenge umegharimu Shilingi Bilioni 14 .
Fuatilia mitandao yetu ya kijamii
Instagram: @mamakajatz
Twitter @mamakajatz
Facebook: Mamakajatz
YouTube: Mama kaja tz
#Mamakaja