Home LOCAL MBUNGE RITA KABATI AANDAA KONGAMANO KUBWA LA WATU WENYE ULEMAVU MKOA WA...

MBUNGE RITA KABATI AANDAA KONGAMANO KUBWA LA WATU WENYE ULEMAVU MKOA WA IRINGA

Katika kuhakikisha jamii ya watu wenye ulemavu inafikiwa na kupatiwa mahitaji yao Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa  Mh. Rita Kabati anatarajia kufanya Kongamano kubwa kwa ajili ya watu wenye ulemavu wa Mkoa wa Iringa lenye lengo la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan.

Kongamano hilo linatarajiwa kufanyika Julai 9,2022 siku ya Jumamosi ambapo pamoja na mambo mengine pia linalenga kutoa elimu ya sensa, kutoa elimu ya mikopo ya asilimia 10, elimu ya ukatili wa kijinsia pamoja na ukatili wa Watoto 

Kongamano hilo linatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Garden Posta Iringa Mjini ambapo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Queen Sendiga.

Previous articleSHAKA ATEMBELEA BANDA LA BRELA MAONESHO YA SABASABA
Next articleDKT. KIRUSWA AKERWA NA WANAOKIUKA SHERIA YA MADINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here