Home LOCAL RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI USIKU HUU

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI USIKU HUU

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Dkt. Prosper Lutangilo Mgaya kuwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).

Kabla ya uteuzi huu Dkt. Mgaya alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA).

Dkt. Mgaya anachukua nafasi ya Prof. Zacharia Mganilwa ambaye amemamliza muda wake.

Uteuzi huu umeanza tarehe 04 Machi, 2024.

Zuhura Yunus

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu