Home LOCAL RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI USIKU HUU

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI USIKU HUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Dkt. Prosper Lutangilo Mgaya kuwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).

Kabla ya uteuzi huu Dkt. Mgaya alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA).

Dkt. Mgaya anachukua nafasi ya Prof. Zacharia Mganilwa ambaye amemamliza muda wake.

Uteuzi huu umeanza tarehe 04 Machi, 2024.

Zuhura Yunus

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

Previous articleCUBA NA TANZANIA KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA MAENEO YA KIMKAKATI
Next articleWADAU WA UTALII DUNIANI WAVUTIWA KUWEKEZA NCHINI TANZANIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here