Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisikiliza Swali kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje, Wakati alipokuwa akijibu maswali ya Papo kwa Papo Bungeni jijini Dodoma, Februari 8, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange Bungeni Jijini Dodoma, Februari 8, 2024 ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)