Home LOCAL ETE WASHIRIKI SIKU YA USAFI DUNIANI

ETE WASHIRIKI SIKU YA USAFI DUNIANI

Katika maadhimisho ya siku ya usafi duniani ETE wameshiriki kusafisha ufukwe wa Kawe katika Bahari ya Hindi Dar es Salaam tuko lilio andaliwa na Haika Chao kutoka Student For Liberty Tanzania.
 
ETE pamoja na kushiriki kufanya usafi katika eneo hilo wanatumia Dijitali kuyasemea mazingira ambayo hayawezi kujisemea yenyewe, kupitia mitandao ya kijamii na majukwaa mbalimbali ya mtandaoni kwa lengo la kufikisha ujumbe wa kukumbusha jamii kuendelea kutunza mazingira na kuyapenda ili yaendelee kuwa faida ya kizazi cha sasa na vizazi vijavyo.
 
Picha zote na Fredy Njeje.
Previous articleDKT. MWINYI AHUTUBIA MKUTANO WA NCHI ZA KUNDI LA G77+CHINA
Next articleJAJI DKT. YOSE MLYAMBINA AFUNGA KIKAO KAZI BAINA YA WCF NA WATENDAJI WA MAHAKAMA KUU DIVISHENI YA KAZI JIJINI MWANZA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here