Home INTERNATIONAL TANZANIA NA URUSI ZAKUBALIANA KUSHIRIKIANA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA

TANZANIA NA URUSI ZAKUBALIANA KUSHIRIKIANA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA

Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya Usafiri wa Anga na Hali ya Hewa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Biseko Chiganga akitia saini Mikataba makubaliano ya Usafiri wa Anga baina ya Tanzania na Urusi. Anayeshuhudia kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Sheria Mamlaka ya  Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA),Maria Makalla Memba. Makubaliano hayo yamefikiwa nchini Urusi mwezi Julai 2023.
Timu ya wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi pamoja na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) katika picha ya pamoja mara baada ya kukamilisha zoezi la kusaini Mikataba makubaliano ya Usafiri wa Anga baina ya Tanzania na Urusi.
Previous articleKINYOZI MBALONI TUHUMA ZA KUMBAKA NA KUMLAWITI MTOTO WA MIAKA 8 GEITA KWA KUMHONGA CHAPATI
Next articleWAZIRI MKUU AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA URUSI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here