Mchumi Mwandamizi kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Bw. Francis Makusaro akiongoza kikao kazi cha kupitia mapendekezo ya mpango wa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji Nchini (Mkumbi/Blue Print) kuhusu sheria zinazosimamia biashara ya vyakula vya mifugo ndani na nje ya nchi kilichofanyika kwenye ukumbi wa Wizara Mtumba jijini Dodoma Julai 24 -26,2023.
Kaimu Mkurugenzi Sera na Mipango (Mifugo) Bw. Daudi Mayeji akifungua kikao kazi cha kupitia mapendekezo ya mpango wa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji Nchini (Mkumbi/Blue Print) kuhusu sheria zinazosimamia biashara ya vyakula vya mifugo ndani na nje ya Nchi kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mtumba jijini Dodoma, Julai 24-26,2023.
Sehemu ya washiriki wa kikao kazi cha kupitia mapendekezo ya mpango wa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji Nchini (Mkumbi/Blue Print) kuhusu sheria zinazosimamia biashara ya vyakula vya mifugo ndani na nje ya Nchi kilichofanyika kwenye ukumbi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mtumba jijini Dodoma Julai 24-26,2023.