Home LOCAL WAZIRI NDALICHAKO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA USWISI NCHINI TANZANIA

WAZIRI NDALICHAKO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA USWISI NCHINI TANZANIA

  

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akimkaribisha Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot leo tarehe 25 Julai, 2022 katika ofisi ndogo za Ofisi hiyo Jijini Dar es salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akifafanua jambo kwa  Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot leo tarehe 25 Jula, 2022, alipomtembelea katika ofisi ndogo za Ofisi hiyo Jijini Dar es salaam.


Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot akieleza jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (hayupo pichani).


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akikabidhiwa zawadi na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot walipokutana leo tarehe 25 Julai, 2022, katika ofisi ndogo za ofisi hiyo Jijini Dar es salaam.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akiwa na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot leo tarehe 25 Julai, 2022, mara baada ya kukutana naye katika ofisi ndogo za ofisi hiyo Jijini Dar es salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akiwa na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot pamoja na ujumbe wake leo tarehe 25 Julai, 2022, mara baada ya kukutana naye katika ofisi ndogo za Ofisi hiyo Jijini Dar es salaam.

Waziri wa  Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako leo tarehe 25 Jula, 2022, amekutana na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot ambapo wamekubaliana kuimarisha ushirikiano katika masuala ya Kazi, Vijana, na Ajira.

Waziri Ndalichako amemuhakikishia Balozi huyo kuwa Ofisi yake itaendelea kushirikiana naye na ameomba  kuwepo na Programu ya kuwausisha Vijana na masuala ya digitali ili waweze kutumia teknolojia kwa tija.

Naye, Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Mhe. Didier Chassot amesema Uswisi iko tayari kushirikiana na Ofisi hiyo katika kuleta Maendeleo kwa Vijana hususan kupitia Programu zao za Mafunzo ya Uanagenzi.

Viongozi hao wamekutana na kufanya mazungumzo hayo kwenye ofisi ndogo za Ofisi hiyo  jijini Dar es Salaam. 
Previous articleKINANA: VIJANA, WANAWAKE JITOKEZENI UCHAGUZI NDANI YA CCM TUTATENDA HAKI
Next articleOFISI YA ARDHI MKOA WA SINGIDA YAANZA KUSIKILIZA KERO ZA MIGOGORO YA ARDHI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here