Home LOCAL DKT. MAGEMBE AWAJULIA HALI WANAFUNZI WA KING DAVID

DKT. MAGEMBE AWAJULIA HALI WANAFUNZI WA KING DAVID

Naibu Katibu Mkuu Afya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Grace Magembe ametembelea hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula kuwajulia hali wanafunzi wa Shule ya Msingi King David ambao wamepata ajali mapema leo tarehe 26 Julai 2022.


Wanafunzi hao wanaendelea kupata matibabu katika hospitali hiyo na hali zao zinaendelea kuimarika.


Aidha Dkt. Magembe anatoa salam za pole kwa wazazi ndugu na Jamaa ambao wameondokewa na watoto wao.

Previous articleTANZANIA NA KITUO CHA KUDHIBITI MAGONJWA NCHINI MAREKANI (CDC) KUENDELEA KUSHIRIKIANA
Next articleKITUO CHA KUTOLEA MAFUNZO KWA NJIA MTANDAO CHAZINDULIWA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here