Home LOCAL WAZIRI MKUU AKAGUA MIRADI WILAYA YA ITILIMA

WAZIRI MKUU AKAGUA MIRADI WILAYA YA ITILIMA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa shule ya sekondari ya Njalu katika kijiji cha Kimali, kata ya Nyamalapa, wilayani Itilima, mkoani Simiyu na kuagiza shule hiyo iwe ya mfano.

Pia Waziri Mkuu alizindua mradi wa ghala la kuhifadhi mazao ya chakula katika kijiji cha Ikindilo, wilayani Itilima ambao uliogharimu milioni 990 ujenzi wa ghala hilo umelenga kudhibiti sumukuvu kwenye mazao ya chakula kwa kuongeza ufanisi katika uhifadhi wa mazao.

Waziri Mkuu amefanya Mikutano miwili mikubwa ya hadhara na kuzungumza na wananchi katika kijiji cha Kimali na Ikindilo vilivyoko wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu.

Previous articleDKT. KIJAJI AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA URUSI
Next articleWAZIRI MKUU AZINDUA MRADI WA MAJI WA NGULYATI BARIADI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here