Home LOCAL MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KITUO CHA HUDUMA ZA PAMOJA CHA AZERBAIJAN

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KITUO CHA HUDUMA ZA PAMOJA CHA AZERBAIJAN

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika kituo cha pamoja cha kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social Innovation) kilichopo katika Mji wa Baku leo tarehe 03 Machi 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa kituo cha pamoja cha kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social Innovation) Ulvi Mehdiyev wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo katika Mji wa Baku leo tarehe 03 Machi 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika Mazungumzo na Mkuu wa kituo cha pamoja cha kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social Innovation) Ulvi Mehdiyev wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo katika Mji wa Baku leo tarehe 03 Machi 2023.

Previous articleMAGAZETI YA LEO IJUMAA MACHI 3, 2023
Next articleBRELA YAKUTANA NA WADAU KUPITIA KANUNI ZA WAMILIKI MANUFAA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here