Home LOCAL RC TANGA AFANYA MAZUNGUMZO NA TMDA, BODI YA USHAURI WIZARA YA AFYA

RC TANGA AFANYA MAZUNGUMZO NA TMDA, BODI YA USHAURI WIZARA YA AFYA

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Malima amekutana na kufanya mazungumzo na Bodi ya Ushauri ya Wizara ya Afya (MAB) kwa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) na Menejimenti ya mamlaka hiyo, walipokwenda Ofisini kwake wakati wa ziara yao ya kutembelea maeneo ya mipakani kuangalia uingizwaji wa bidhaa bandia katika maeneo hayo ambapo kwa Mkoa wa Tanga watatembelea Mpaka wa Horohoro. Kushoto kwa RC Malima ni Mwenyekiti wa MAB, Eric Shitindi na wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TMDA, Adam Fimbo.
Previous articleWAFANYABIASHARA MAJOHE WALIA NA OFISI YA SERIKALI YAMTAA KUSHINDWA KUPANGA UTARATIBU
Next articleWAGONJWA 26 WAMEPANDIKIZWA FIGO KATIKA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here